Agosti 9, 2025
28 Tracks
00:00
1X
- Katika karne ya 15 Milaadia, ardhi ambayo leo tunaijua kwa jina la Uhispania ilikuwa imegawika sehemu mbili, Mashariki na Magharibi. Ferdinand alikuwa ndiye mfalme wa nchi ya Aragon na Isabella ndiye aliyekuwa Malkia wa nchi ya Castile... hali hiyo iliendelea mpaka hekaya ya mapenzi baina ya nchi hizo mbili ilipozuka. Ferdinand alimposa Isabella na malkia[...]
- Ushindani kati ya Ureno, Uhispania na Ufaransa uliendelea hadi mwishowe mshindani mkali akaingia kwenye medani ya vita. Huyo alikuwa ni mshindani wa jinsia nyingine. Kwa miaka mingi, Henry VII na VIII, wafalme wa Uingereza, walijaribu kushiriki katika mashindano hayo, lakini hatima ilikuwa ni kwamba kilichowashinda wanaume kiliweza kufanywa na mwanamke anayeitwa Malkia Elizabeth. Katika[...]
- Uhispania ilikuwa nchi ya pili iliyoingia baharini katika juhudi za kufika kwenye nchi iliyokuwa inaiota mchana na usiku, naam nchi ya utajiri wa dhahabu na hatimaye ilifika kwenye nchi hiyo. Baada ya kuvuka mikondo mikubwa ya bahari, hatimaye Wahispania walifika kwenye ardhi ya "El Dorado" katika nchi ya watu wa jamii ya Inca. Wakristo[...]
- Siku moja, simba mwenye njaa alikuwa akiwinda katika uwanda mkubwa. Ghafla, macho yake yakatua kwa paa aliyekuwa anakula majani akiwa na kikinda chake kichanga. Simba alijificha kwenye kona na alipopata tu fursa nzuri alikimbia haraka akakimbia kuelekea upande wa paa. Siku moja, simba mwenye njaa alikuwa akiwinda katika uwanda mkubwa. Ghafla, macho yake yakatua[...]
- Waingereza walikuwa walisafiri kwa kutumia njia ngumu sana na ya hatari kuvuka bahari ili kukanyaga Ulimwengu Mpya, kuanzisha mashamba makubwa huko, na kutafuta dhahabu na fedha chini ya milima yake. Hadithi zinasema kwamba, kuna wakati fulani Socrates alikuwa akiketi mbele ya lango la jiji na kukaribisha wageni. Siku moja, mgeni mmoja alikuja kwake na[...]
- Mamia ya miaka iliyopita, sherehe ya ajabu ilikuwa ikifanyika kila mwaka katika jiji la Venice, Italia. Mtawala wa mji huo alikuwa ametenga siku maalumu ambayo alikuwa anaondoka mjini na kwenda katikati ya bahari kwa mashua, na kuchukua pete ya arusi kutoka mfukoni mwake, akaiielekeza upande wa baharini kwa muda, na halafu alikuwa anaitupa majini kwa[...]
- Assalaamu Alaykum. Hii ni sehemu ya ishirini na tano cha mfululizo wa Podikasti ya Historia ya Dunia, ni mkusanyiko wa historia na kumbukumbu kutoka Uingereza, India, watawala, na wakulima.... Watu waliokuwa wakiishi pembeni mwa Mto Indus au kwa jina jingine Mto Sindh waliingia wasiwasi sana walipomuona mzungumzo mmoja kutoka Uingereza akiwa anazurura-zurura karibu na nyumba[...]
- Je, umewahi kucheza mchezo wa polisi mzuri na polisi mbaya? Ulicheza nafasi gani katika filamu hiyo? Huenda hata umewahi kucheza bila ya wewe mwenyewe kujua. Hiki ni episodi ya ishirini na saba (27) ya mfululizo wa Podikasti ya Historia ya Dunia. Historia na kumbukumbu za maasi, miji na methali.... Baada ya mapinduzi mengi ya[...]