Vita vya Msalaba

Historia ya Vita vya Msalaba

Podikasti hii ni simulizi ya Vita vya Msalaba. Vimejulikana kwa jina la Vita vya Msalaba kwa sababu askari Wakristo, walipachika alama ya msalaba kwenye bega.

Ujana Ulioharibiwa

Majadiliano ya Kitabu Stolen Youth na Athari za Migogoro kwa Watoto

Simulizi kuhusiana na mateso ya utawala dhalimu wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina kutoka katika kitabu cha
Stolen Youth: The Politics of Israel’s Detention of Palestinian

Israel ni Donda la Saratani

Podikasti ya kihistoria inayozungumzia maendeleo ya kisiasa na kijamii kuhusu kuundwa kwa Israel na athari zake katika eneo la Palestina.

Podikasti hii ni simulizi ya kihistoria kuhusiana na kuundwa utawala haramu wa Israel katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Utawala wa Kizayuni, mzaliwa wa ugaidi

Maudhui ya podikasti yanayochunguza historia ya harakati za Kizayuni na maendeleo yake katika muktadha wa Mashariki ya Kati.

Ni kipindi kinachochunguza na kuchambua jinsi jinai, vitendo vya kikatili na vya kigaidi vilivyokuwa na nafasi kubwa katika kuundika na kuzaliwa utawala wa Kizayuni wa Israel