Sala, hidaya ya Allah

Muislamu akifanya sala kwa unyenyekevu kama njia ya kupata hidaya na ukaribu na Allah.

Ni kipindi kinachozungumzia umuhimu mkubwa wa ibada ya Sala ambayo ndiyo ibada kubwa zaidi, muhimu zaidi na inayomuweka mja karibu mno na Allah kuliko ibada nyingine yoyote

Haki za Watoto katika Uislamu

Watoto wakikuzwa katika mazingira ya malezi na heshima kulingana na mafundisho ya Uislamu.

Ni kipinchi kinachochambua kwa kina mtazamo wa Uislamu kuhusu haki za watoto ikilinganishwa na mitazamo ya dini nyinginezo na sheria zilizotungwa na wanadamu na kinonesha ni jinsi gani Uislamu unazingatia mno haki za watoto kuliko dini na mrengo mwingine wowote unaodai kutetea haki za watoto duniani.

Bustani ya Uongofu

Taswira ya kiishara ya bustani inayowakilisha uongofu, elimu na mwanga wa kiroho katika Uislamu.

Ni kipindi kinachochambua hadithi na miongozo mitukufu ya Bwana Mtume Muhammad SAW na Ahlul Bayt zake watoharifu katika masuala mbalimbali ya kiitikadi, kidini na kijamii