Agosti 25, 2025
10 Tracks
- Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili Sauti ya jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Karibuni katika Podikasti hii mpya ambapo tutachunguza na kujadili Makosa Kumi Mashuhuri Kuhusu Israel ambayo ni jina la kitabu cha Ten Myths About Israel kilichoandikwa na Myahudi[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo na karibu kutegea sikio sehemu ya 3 ya Podikasti hii ya Makosa 10 Mashuhuri Kuhusu Israel. Katika Podikasti hii kama tulivyosema katika sehemu zilizotangulia tutabainisha mambo kumi kuhusu Israel ambayo watu wengi wanadhani ni ya kweli kumbe si kweli. Katika kipindi kilichopita, tulizungumzia kuhusu uwongo[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo na karibu kutegea sikio sehemu ya 5 ya Podikasti hii ya Makosa 10 Mashuhuri Kuhusu Israel. Katika Podikasti hii kama tulivyosema katika sehemu zilizotangulia tutabainisha mambo kumi kuhusu Israel ambayo watu wengi wanadhani ni ya kweli kumbe si kweli. Katika sehemu ya tano ya Podikasti[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo na karibu kutegea sikio sehemu ya 7 ya Podikasti hii ya Makosa 10 Mashuhuri Kuhusu Israel. Katika vipindi vilivyopita, tulibainisha hadithi na ngano sita za zamani kuhusu Palestina ambazo ziliundwa na Uzayuni. Tulifafanua kila moja yao kikamilifu na tukakanusha kwa kuzingatia ukweli wa kihistoria na[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo na karibu kutegea sikio sehemu ya 9 ya Podikasti hii ya Makosa 10 Mashuhuri Kuhusu Israel. Katika podikasti hii, tutajadili mambo matatu ambayo ni katika uwongo wa Israel kuhusu Gaza, kulingana na kitabu cha Ilan Payne. Moja ni kwamba Hamas ni kundi; pili ni kwamba[...]
00:00
1X
