Januari 3, 2026
16 Tracks
- Podkasti ya Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi ni uchunguzi wa historia ya siri ya mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na utawala wa Israel. Uchunguzi huu umetokana na kitabu chenye jina lenye mfanano na anuani ya Podkasti hii. Kitabu hicho kilichoandikwa mwaka 2018 na mmoja wa waandishi mashuhuri wa Israel, Ronen Bergman kinaitwa Rise And Kill[...]
- Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu ya pili ya Podikasti yetu: Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi. Ni uchunguzi wa historia ya siri ya mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na utawala wa Israel. Uchunguzi huu umetokana na kitabu chenye jina lenye mfanano na anuani ya Podkasti hii. Kitabu hicho kilichoandikwa mwaka 2018 na mmoja[...]
- Podkasti ya Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi ni uchunguzi wa historia ya siri, ya mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na utawala wa Israel. Uchunguzi huu umetokana na kitabu, chenye jina lenye mfanano na anuani ya Podkasti hii. Kitabu hicho kilichoandikwa mwaka 2018 na mmoja wa waandishi mashuhuri wa Israel, Ronen Bergman kinaitwa Rise And Kill[...]
- Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu ya nne ya Podikasti yetu: Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi. Ni uchunguzi wa historia ya siri ya mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na utawala wa Israel. Katika episodi hii tutaeleza namna vitengo 504 na 101 vya ujasusi na ugaidi vya utawala wa Kizayuni vilivyoundwa, na tutazungumzia baadhi[...]
- Hii ni episodi ya tano ya Podkasti ya “Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi” ambayo itaangazia sehemu ndogo tu ya jinai na mauaji ya makusudi, yaliyofanywa na vitengo viwili vya kigaidi vya utawala wa kizayuni wa Israel viitwavyo 505 na 101. Huku nikitumai kuwa hujambo msikilizaji mpenzi popote ulipo, ningependa kujua, wewe kwa upande wako,[...]
- Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu ya sita ya Podikasti yetu: Israel, Talmudi na Mauaji ya Kigaidi. Ni Uchunguzi wa historia ya siri ya mauaji ya kukusudia yaliyofanywa na utawala wa Israel. Je hadi sasa umewahi kujiuliza ni serikali gani ya kigaidi zaidi duniani? Kwa mtazamo wako, inawezekana kutasawari kwamba utawala ambao uwepo wake bandia[...]
- Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii mpya ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. ... Huenda ungetaka kujua tangu mwanzo ni mada gani tutazungumzia katika mfululizo huu. Ili kujibu swali hili, ningependa kukualika uwe pamoja nasi hadi mwisho wa episodi hii ya kwanza ili nikueleze mada ni nini. Kuweni nami hadi[...]
- Kwa mujibu wa Agano Jipya na nyaraka zilizopatikana katika fukwe za Bahari ya Chumvi, watu wa zama za Nabii Yahya (A.S.) na Nabii Isa (A.S.) walikuwa wakisubiri kuja kwa watu kadhaa maalum. As-salaam ‘alaykum… Katika sehemu ya kwanza ya podkasti hii tulieleza kuwa mkusanyiko wa podikasti hizi tumeuita “Ahmad wa Mataifa Yote”. Lakini[...]
- Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. Katika sehemu iliyotangulia, tulisema kwamba, kwa mujibu wa Quran, “Watu wa Kitabu,” yaani, watu ambao Mwenyezi Mungu aliwapa kitabu kabla ya kuja Uislamu, walikuwa wanamjua Mtume wa mwisho, kama wanavyovyowajua watoto wao. Sifa mojawapo ya akina baba[...]
- Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. Podikasti hii inachunguza na kuonyesha ishara na athari za Mtume wa mwisho Muhammad (saww) katika maandiko ya torati, injili na Qur’ani. Kuweni nami hadi tamati ya sehemu ya tano ya podikasti hii ambapo leo[...]
- Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote” ambayo inafuatilia na kuchunguza athari za kutajwa Mtume wa mwisho Muhammad saw katika maandiko matukufu ya torati, injili na Qur’ani tukufu. Kuweni nami katika episodi hii ya saba tukiendelea na maudhui hii. Tulisema kwamba katika “wasia wa[...]
- Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote” ambayo inafuatilia na kuchunguza athari za kutajwa Mtume wa mwisho Muhammad saw katika maandiko matukufu ya torati, injili na Qur’ani tukufu. Jiungeni nasi leo pia ambapo tutaonyesha ishara nyingine ya "yule Nabii", nabii wa mwisho wa Mungu,[...]
- Karibuni katika sehemu ya mwisho ya podkasti “Ahmad wa Mataifa Yote.” Katika sehemu zote zilizopita tumekuwa tukisafiri pamoja ndani ya kurasa za Taurati, Injili na Qur’ani, tukifuatilia athari na dalili za Mtume wa mwisho katika maandiko haya matukufu. Mtume ambaye mataifa yote yalisikia bishara ya ujio wake; Mtume ambaye Isa (amani ya Mwenyezi[...]
00:00
1X

