Skip to content
Telegram Youtube
Wasiliana Nasi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
Telegram Youtube
Languages
  • Europe
  • En - English
  • Ru - Russian
  • De - German
  • Es - Spanish
  • Fr - French
  • It – Italian
  • Sq – Albanian
  • West Asia
  • Tr - Turkish
  • Hy - Armenian
  • Az - Azeri
  • Tly - Talysh
  • He - Hebrew
  • Aii - Assyrian
  • South Asia
  • Bn - Bangla
  • Hi - Hindi
  • Ur – Urdu
  • Ps - Pashto
  • Prs - Dari
  • Central Asia
  • Tk - Turkmen
  • Uz - Uzbek
  • Tg - Tajik
  • Kz - Kazakh
  • East Asia
  • Zh – Chinese
  • Ja - Japanese
  • Id – Indonesian
  • Africa
  • Sw - Swahili
  • Ha - Hausa
album-art

Disemba 2, 2025
32 Tracks
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja katika Podkasti hii mpya ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea". Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanaweza kwa hali na sababu kadhaa kutambulika kama mapinduzi ya namna ya pekee yaliyojipambanua kikamilifu na[...]
  • track-artwork
    Wasikilizaji wapenzi mada tutakayoijadili katika sehemu ya pili ya podikasti yetu ya "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jinsi Yalivyotokea" leo inazungumzia Mapinduzi ya Kiislamu; Mapinduzi yasiyo ya vurugu. Kuweni nami hadi tamati. Katika sehemu ya kwanza ya kipindi hiki tunajibu swali kwamba, matukio  ya mwisho kuelekea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran mwaka 1979 yalikuwa na[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Natumai mu wazima na nawakaribisha kutegea sikio sehemu ya nne ya mfululizo wa podikasti hii ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Yalivyoanza na Yalivyotokea. Katika episodi iliyopita, tulitupia jicho kwa muhtasari matukio ya kisiasa na kijamii yaliyopelekea kutokea Mapinduzi ya kudai katiba na matukio yaliyofuata baada ya hapo, hasa katika zama za utawala wa Pahlavi wa kwanza[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea". Katika mfululizo huu tutaizungumzia maudhui ya kupigania haki na uadilifu ambayo ni nukta nyingine ya pamoja inayoonekana katika Mapinduzi ya Katiba[...]
  • track-artwork
    Hamjambo na karibuni katika sehemu hii ya sita ya podikasti yetu inayozungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Podikasti hii kama tulivyosema hapo awali inachunguza namna Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran  yalivyotokea mnamo mwaka 1979 na  tofauti zake na mapinduzi mengine. Baada ya kuchunguza sifa za kipekee na maalumu za  mapinduzi haya, tutajibu swali kwamba, kwa nini Mapinduzi ya[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea". Katika Podkasti hii ya saba tutachambua nafasi ya siasa na mipango ya Pahlavi wa Kwanza, yaani Reza Khan na namna ilivyochangia[...]
  • track-artwork
    Natumai mu buheri na wenye afya na ninawakaribisha kutegea sikio sehemu ya 8 ya podikasti hii inayokujieni kwa anwani "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran; Yalivyoanza na Yalivyotokea". Podikasti hii inachunguza namna Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalivyotokea mwaka 1979 na kujadili tofauti zake na mapinduzi mengine. Vilevile tunajibu swali kwamba, kwa nini Mapinduzi ya Kiislamu[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea". Katika Podkasti hii tutachunguza namna lengo jengine la Mapinduzi ya Katiba ya Iran, yaani piganio la kujitawala kisiasa na kiuchumi lilivyotoweka[...]
  • track-artwork
    Natumai mu buheri na wenye afya na ninawakaribisha kutegea sikio sehemu ya 10 ya podikasti hii inayokujieni kwa anwani "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran; Yalivyoanza na Yalivyotokea". Podikasti hii inachunguza namna Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalivyotokea mwaka 1979 na kujadili tofauti zake na mapinduzi mengine. Vilevile tunajibu swali kwamba, kwa nini Mapinduzi ya Kiislamu[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 11. Katika episodi iliyopita tulizungumzia utegemezi iliokuwa nao Iran kwa Magharibi na uingiliaji wa madola[...]
  • track-artwork
    Hujambo msikilizaji mpendwa wa Radio Tehran. Mimi ni msimulizi wako, Ashamah Ghanima Mohamed, na katika sehemu ya 12 ya podikasti hii inayozungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, tutaeleza vipengele vingine vya kipekee na maalumu vya mapinduzi hayo. Katika episodi kadhaa zilizopita, tulitaja mambo matatu yaani huru, kupigania uadilifu na kujitawala, kwamba yalikuwa matakwa muhimu zaidi ya wananchi[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Katika sehemu ya leo ya episodi hii tutazungumzia nafasi ya wanawake katika harakati za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Hujambo mpendwa msikilizaji, mimi ni msimulizi wako, Asmahan Ghanima Mohamed, na katika sehemu ya kumi na nne ya podikasti  hii ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Yalivyoanza na Yalivyotokea tutachunguza vipengele vingine vya kipekee na maalumu vya mapinduzi haoa. Katika[...]
  • track-artwork
    Hamjambo wapendwa wasikilizaji wa Redio Tehran, msimulizi wako ni mimi Asmahan Ghanima Mohamed. Katika episodi hii ya 15 ya kipindi hiki cha podikasti "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Yalivyoanza na Yalivyotokea" tunaendelea kuchunguza nafasi ya nguvu za kijamii katika kujiri Mapinduzi ya 1979 na mchango na nafasi ya wasomi na maulamaa.   Katika episodi iliyopita,[...]
  • track-artwork
    Natumai mu wazima wasikilizaji wapendwa wa Redio Tehran. Nakukaribisha kutegeea sikio podikasti hii inayokujieni chini ya anwani "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Yalivyoanza na Yalivyotokea. "Msimulizi wako ni mimi Asmahan Ghanima Mohamed, na katika sehemu ya kumi na sita ya podikasti hii, tutaeleza sura nyingine muhimu na ya kipekee na ya mapinduzi hayo. Katika kipindi[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Redio Tehran kutegea sikio podikasti hii inayokujieni chini ya anwani "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Yalivyoanza na Yalivyotokea." Msimulizi wako ni mimi Asmahan Ghanima Mohamed. Katika kipindi kilichopita tulizungumzia nafasi muhimu ya wafanyabiashara na wachuuzi katika mchakato wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Katika episodi hii tutaeleza nafasi ya jeshi[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
  • track-artwork
  • track-artwork
    Hamjambo na karibuni kuwa nasi tena katika sehemu hii ya 22 ya podikasti: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Jinsi Yalivyoanzia na Yalivyotokea. Katika sehemu hii tutakunukulia simulizi na maelezo ya Hamid Algar juu ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Katika kipindi cha ishirini na mbili cha podikasti hii, kama sehemu chache zilizopita, tunakusimulia jinsi Mapinduzi[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 23 tunaendelea kuzungumzia jinsi mapinduzi hayo makubwa na ya kipekee ya karne ya 20 yalivyotokea[...]
  • track-artwork
    Katika sehemu hii ya podikasti yetu inayokwenda kwa anwani Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Yalivyoanza na Yalivyotokea tunajaribu kukunukulia simuliizi ya Nikki Keddie kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu. Hamjambo wasikilizaji wapendwa wa Redio Tehran na karibuni kutegea sikio podikasti hii inayokujieni kwa anwani: "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Yalivyoanza na Yalivyotokea." Katika kipindi cha ishirini na nne[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 25, ambapo tutaendelea kuzungumzia jinsi mapinduzi hayo makubwa na ya kipekee ya karne ya 20[...]
  • track-artwork
    Hujambo na karibu kwenye sehemu ya 26 ya podikasti "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Jinsi Yalivyoanza na Yalivyotokea" inayokujia kila wiki kutoka Redio ya Iran. Katika podikasti hii, tunaendelea kuzungumzia Mapinduuzi ya Kiislamu ya Iran kwa mtazamo wa wanafikra wa Magharibi. Leo tunaendeleza maudhui hiyo kwa kutupia hicho mtazamo na simulizi ya John Foran kuhusu[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 27, ambapo tutaendelea kuzungumzia jinsi mapinduzi hayo makubwa na ya kipekee ya karne ya 20[...]
  • track-artwork
    Natumai mu buheri wa afya wasikilizaji wetu wapendwa wa Redio Tehran.  Kama ulitegea sikio episodi iliyopita utakumbuka kuwa tulichambua namna Mapinduzi ya Kiislamu yalivyotokea kwa mujibu wa simulizi za Ervand Abrahamian, mwanahistoria mashuhuri Mmarekani Muirani. Abrahamian ameashiria nukta kadhaa za kuvutia, kuanzia ustawi wa kulegalega na usio na uwiano na ugumu wa muundo wa kisiasa wa utawala wa Pahlavi hadi[...]
  • track-artwork
    Karibuni wasilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran kutegea sehemu ya 29 ya podikasti hii inayokujieni kwa anwani " Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Yalivyoanza na Yalivyotokea. Kabla ya kuanza episodi hii ya 29, mpendwa mskilizaji ningependa kukukumbusha kuwa ili kujua tulichosema katika vipindi vilivyopita vya podikasti hii, unaweza kutembelea tovuti ya Redio ya Iran[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 30, ambapo tutaendelea kuzungumzia jinsi mapinduzi hayo makubwa na ya kipekee ya karne ya 20[...]
  • track-artwork
    Nakuombea amani, rehma na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako msikilizaji mpenzi, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo. Nakukaribisha tuwe pamoja tena katika Podkasti hii ya "Mapinduzi ya Kiislamu, Yalivyoanzia na Yalivyotokea", huu ukiwa ni mfululizo wake wa 31, ambapo tutaendelea kuzungumzia jinsi mapinduzi hayo makubwa na ya kipekee ya karne ya 20[...]
  • track-artwork
    Hujambo mpendwa msikilizaji wa Redio Tehran na karibu kutegea sikio sehemu ya mwisho ya podikasti "Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Yalivyoanza na Yaliyovyotokea."  Tunaendelea kuchunguza maoni ya Bi. Theda Skocpol kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran hapo mwaka 1979. Kama tulivyosema hapo awali, uchunguza wa jinsi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalivyotokea kwa mtazamo wa wanafikra wa Magharibi unatusaidia[...]
00:00
1X
  • Wasiliana Nasi
  • Sisi ni
  • Wasiliana Nasi
  • Sisi ni

Vitengo

Fikra za Kimapinduzi Historia Jamii Palestina Sauti Mubashara Siasa Tujifunze Kifarsi Uchumi Uislamu Asili Ulimwengu Utamaduni
Fuatilia
Telegram Youtube

@2024 IranRadio – All Rights Reserved. 

{{playListTitle}}
  • {{ index + 1 }}
    {{ track.track_title }} {{ track.track_artist }} {{ track.album_title }} {{ track.length }}
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}{{list.tracks[currentTrack].track_artist && typeof sonaar_music.option.show_artist_name != 'undefined' ? ' ' + sonaar_music.option.artist_separator + ' ' + list.tracks[currentTrack].track_artist:''}}
{{list.tracks[currentTrack].album_title}}
{{ list.tracks[currentTrack].album_title }}
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}
{{list.tracks[currentTrack].track_artist }}
{{classes.speedRate}}X
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}
{{list.tracks[currentTrack].track_artist }}
{{ cta['store-name'] }}