Skip to content
Telegram Youtube
Wasiliana Nasi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
  • Home
  • Vodkasti
  • Ulimwengu
  • Uislamu Asili
  • Fikra za Kimapinduzi
  • Utamaduni
  • Zaidi
    • Jamii
    • Siasa
    • Palestina
    • Uchumi
    • Historia
    • Tujifunze Kifarsi
Telegram Youtube
Languages
  • Europe
  • En - English
  • Ru - Russian
  • De - German
  • Es - Spanish
  • Fr - French
  • It – Italian
  • Sq – Albanian
  • West Asia
  • Tr - Turkish
  • Hy - Armenian
  • Az - Azeri
  • Tly - Talysh
  • He - Hebrew
  • Aii - Assyrian
  • South Asia
  • Bn - Bangla
  • Hi - Hindi
  • Ur – Urdu
  • Ps - Pashto
  • Prs - Dari
  • Central Asia
  • Tk - Turkmen
  • Uz - Uzbek
  • Tg - Tajik
  • Kz - Kazakh
  • East Asia
  • Zh – Chinese
  • Ja - Japanese
  • Id – Indonesian
  • Africa
  • Sw - Swahili
  • Ha - Hausa
album-art

Septemba 8, 2025
10 Tracks
  • track-artwork
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii mpya ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. ... Huenda ungetaka kujua tangu mwanzo ni mada gani tutazungumzia katika mfululizo huu. Ili kujibu swali hili, ningependa kukualika uwe pamoja nasi hadi mwisho wa episodi hii ya kwanza ili nikueleze mada ni nini. Kuweni nami hadi[...]
  • track-artwork
    Kwa mujibu wa Agano Jipya na nyaraka zilizopatikana katika fukwe za Bahari ya Chumvi, watu wa zama za Nabii Yahya (A.S.) na Nabii Isa (A.S.) walikuwa wakisubiri kuja kwa watu kadhaa maalum.     As-salaam ‘alaykum… Katika sehemu ya kwanza ya podkasti hii tulieleza kuwa mkusanyiko wa podikasti hizi  tumeuita “Ahmad wa Mataifa Yote”. Lakini[...]
  • track-artwork
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. Katika sehemu iliyotangulia, tulisema kwamba, kwa mujibu wa Quran, “Watu wa Kitabu,” yaani, watu ambao Mwenyezi Mungu aliwapa kitabu kabla ya kuja Uislamu, walikuwa wanamjua Mtume wa mwisho, kama wanavyovyowajua watoto wao. Sifa mojawapo ya akina baba[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote”. Podikasti hii inachunguza na kuonyesha ishara na athari za Mtume wa mwisho Muhammad (saww) katika maandiko ya torati, injili na Qur’ani. Kuweni nami hadi tamati ya sehemu ya tano ya podikasti hii ambapo leo[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote” ambayo inafuatilia na kuchunguza athari za kutajwa Mtume wa mwisho Muhammad saw katika maandiko matukufu ya torati, injili na Qur’ani tukufu. Kuweni nami katika episodi hii ya saba tukiendelea na maudhui hii. Tulisema kwamba katika “wasia wa[...]
  • track-artwork
  • track-artwork
    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika podikasti hii ya “Ahmad ni wa Mataifa Yote” ambayo inafuatilia na kuchunguza athari za kutajwa Mtume wa mwisho Muhammad saw katika maandiko matukufu ya torati, injili na Qur’ani tukufu. Jiungeni nasi leo pia ambapo tutaonyesha ishara nyingine ya "yule Nabii", nabii wa mwisho wa Mungu,[...]
  • track-artwork
    Karibuni katika sehemu ya mwisho ya podkasti “Ahmad wa Mataifa Yote.” Katika sehemu zote zilizopita tumekuwa tukisafiri pamoja ndani ya kurasa za Taurati, Injili na Qur’ani, tukifuatilia athari na dalili za Mtume wa mwisho katika maandiko haya matukufu.     Mtume ambaye mataifa yote yalisikia bishara ya ujio wake; Mtume ambaye Isa (amani ya Mwenyezi[...]
00:00
1X
  • Wasiliana Nasi
  • Sisi ni
  • Wasiliana Nasi
  • Sisi ni

Vitengo

Fikra za Kimapinduzi Historia Jamii Palestina Sauti Mubashara Siasa Tujifunze Kifarsi Uchumi Uislamu Asili Ulimwengu Utamaduni
Fuatilia
Telegram Youtube

@2024 IranRadio – All Rights Reserved. 

{{playListTitle}}
  • {{ index + 1 }}
    {{ track.track_title }} {{ track.track_artist }} {{ track.album_title }} {{ track.length }}
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}{{list.tracks[currentTrack].track_artist && typeof sonaar_music.option.show_artist_name != 'undefined' ? ' ' + sonaar_music.option.artist_separator + ' ' + list.tracks[currentTrack].track_artist:''}}
{{list.tracks[currentTrack].album_title}}
{{ list.tracks[currentTrack].album_title }}
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}
{{list.tracks[currentTrack].track_artist }}
{{classes.speedRate}}X
{{list.tracks[currentTrack].track_title}}
{{list.tracks[currentTrack].track_artist }}
{{ cta['store-name'] }}