Athari za kipigo cha Iran kwa Israel

Unadhani ni kitu gani kimelifanya shambulio la Iran dhidi ya Israel lionekane kuwa ni tukio kubwa? Kujibu suali hili, nukta ya kwanza na muhimu zaidi

Share

Picha ya video kuhusu shambulio la Iran dhidi ya Israel na makombora yaliyotumika

Unadhani ni kitu gani kimelifanya shambulio la Iran dhidi ya Israel lionekane kuwa ni tukio kubwa? Kujibu suali hili, nukta ya kwanza na muhimu zaidi ni kwamba Iran imethibitisha kivitendo kuwa, ulinzi wa anga wa Israel si madhubuti. Katika shambulio lake la kijeshi, Iran ilivurumisha makumi ya makombora; na yamkini mengi yao yalipiga maeneo yaliyokusudiwa.