Acha leo nikusimulie visa kadhaa vya Uingereza

Share

Acha leo nikusimulie visa kadhaa vya Uingereza

Tunapofungua kurasa za historia, tunaona kurasa zilizojaa damu kutokana na mauaji ya watu. Watu ambao dhambi yao ya pekee ilikuwa ni kuishi katika ardhi iliyokuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali asilia na watu.

Faili la Venezuela