Home » Iran » Machafuko ya kuvuruga Usalama
Share
Swali halisi linaloulizwa hapa Iran kwa sasa ni kwamba: Maandamano yanayohusiana na masuala ya kiuchumi yanawezaje kugeuka kuwa machafuko ya kiusalama katika muda mfupi tu?