Israel yazidi kupata vipigo na hasara kubwa kwa kususiwa bidhaa zake

Je, tuache kuisusia Israel? Je, ususiaji huu hauna taathira tena? Hapana, si hivyo hivyo. Kuanzia Oktoba 2023, makampuni kama vile Starbucks, McDonald's, Coca-Cola, Nestlé na

Share

Je, tuache kuisusia Israel? Je, ususiaji huu hauna taathira tena? Hapana, si hivyo hivyo. Kuanzia Oktoba 2023, makampuni kama vile Starbucks, McDonald’s, Coca-Cola, Nestlé na Domino’s yameshuhudia mauzo yao yakipungua na kupoteza mabilioni ya dola sokoni… Hayo na mengineyo yamo kwenye video hii… Usiache kujiunga nasi (subscribe) na kubonyeza kengele kwa ajili ya video mpya zaidi…