Uchafuzi wa Atomiki

Share

Uchafuzi_wa_Atomiki

Ulikuwa ukijua kwamba mbali na Japan, mabomu ya atomiki ya Marekani yamedondoshwa katika nchi zingine pia? Agosti 6, 1945 Hiroshima ilishambuliwa kwa bomu la atomiki, na siku tatu baadaye ikashambuliwa Nagasaki; na mbali na uharibifu na uchafuzi angamizi, mabomu hayo yalisababisha vifo vya papo kwa papo vya watu laki mbili na elfu 20, mbali na makumi ya maelfu waliozaliwa kwa miaka na miaka wakiwa na vilema!