Kuhani Mzayuni: Hatutoruhusu Waislamu na Wakristo wawe na nguvu duniani

Taasisi za utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya maandalizi ya kuanza kutekeleza mradi wa kuubomoa Msikiti wa Al-Aqsa na kujenga hekalu la Kizayuni. Hivi karibuni

Share

Taasisi za utawala wa Kizayuni wa Israel zinafanya maandalizi ya kuanza kutekeleza mradi wa kuubomoa Msikiti wa Al-Aqsa na kujenga hekalu la Kizayuni. Hivi karibuni waziri wa usalama wa Israel, Itamar Ben Gvir, aliendelea kuchokoza hisia za Waislamu na kutangaza bila ya aibu kwamba ana nia ya kujenga hekalu hilo mahali kilipo Kibla cha Kwanza cha Waislamu…. Hayo na mengineyo yamo kwenye video hii… Usiache kujiunga nasi (subscribe) na kubonyeza kengele kwa ajili ya video mpya zaidi…

Faili la Venezuela