Kama vyombo vya habari havitasema ukweli ni nani atakayeusema?

Share

Kama vyombo vya habari havitasema ukweli ni nani atakayeusema?

Je, kama vyombo vya habari havitasema ukweli ni nani atakayeusema? Wakati studio ya matangazo ya moja kwa moja ya kanali ya habari inaposhambuliwa kwa kombora mbele ya macho ya mamilioni ya watu, sio jengo tu huwa limeharibiwa, bali maana ya uhuru wa kusema.

Faili la Venezuela