Muungano wa Sahel, chachu ya Muamko wa Afrika

Share

Muungano wa Sahel, chachu ya Muamko wa Afrika

Nidhamu mpya ya dunia sasa haipangwi tena katika miji mikuu ya madola yenye nguvu tu; na ishara za hilo zinaweza kuonekana Bamako, Niamey na Ouagadougou. Ni katika mazingira hayo ndipo maana ya Muungano wa Nchi za Sahel (AES) inapoweza kufahamika.

Faili la Venezuela