Kitendo cha ubalozi wa Australia mjini Tehran cha kuandaa sherehe iliyopewa jina la “Valia Zambarau” kwa lengo la kueneza utamaduni potofu wa liwati na usagaji nchini Iran, kimeamsha hasira za wananchi wa Iran na kupelekea watu na shakhsia mbalimbali wa kidini hapa nchini kulaani vikali kitendo hicho…. Hayo na mengineyo yamo kwenye video hii… Usiache kujiunga nasi (subscribe) na kubonyeza kengele kwa ajili ya video mpya zaidi…