Uchakachuaji wa Kisaikolojia

Share

Je, unajua jinsi janga la binadamu linaweza kubadilishwa na kuonekana kuwa ni mafanikio ya kijeshi?

Je, unajua jinsi janga la binadamu linaweza kubadilishwa na kuonekana kuwa ni mafanikio ya kijeshi? Nam, sawa kabisa! Kupitia vyombo vya habari vya Magharibi!

Bila shaka katika vita vya siku 12 vya Iran na Israel, ulisikia maneno kama vile “mashambulio yanayolenga shabaha kwa umakini” na “uharibifu kamili” yakitumiwa mara nyingi na wanasiasa wa Magharibi na Israel.