Wawili kwa mmoja; taswira ya kikao cha Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran na Rais wa Russia pamoja na Katibu wa Baraza la Usalama la Russia, ni kikao muhimu kilichofanyika wakati muhimu.… Hayo na mengineyo yamo kwenye video hii… Usiache kujiunga nasi (subscribe) na kubonyeza kengele kwa ajili ya video mpya zaidi…