KIGEUZA MCHEZO

Kumetokea tukio kubwa katika uga wa zana za kijeshi duniani ambalo tunaweza kuliita Kigeuza Mchezo katika masuala ya kivita. Tukio hilo limejiri Iran.
Ustawi wa Tasnia ya Reli nchini Iran

Tasnia ya reli ni nguzo ya maendeleo ya kiuchumi na kiunganishi kati ya miji mbalimbali. Nchini Iran tasnia hii imestawi na kupiga hatua kwa kutegemea uwezo wa ndani.
Miongo sita ya jinai za BATUK

Wanajeshi wa Uingereza wanapodhuru Wakenya na mazingira, ni nani anawajibika? Sauti za Kenya zinataka majibu!
Kwa Jina la Mwokozi

Wamarekani wengi wanaamini kwamba mwisho wa dunia umekaribia. Utabiri huo unasema, vita vya mwisho vitakavyomaliza dunia vitaanzia Mashariki ya Kati, na Israel ndio ufunguo wake.
Ayatullah Khamenei: Mwanamkakati wa Iran Huru

Katika majira ya joto ya mwaka 1989, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alichukua uongozi wa Iran huku akikabiliwa na changamoto nyingi kubwa.
NJAMA YA KUSINGIZIA

Baadhi ya vita havianzi kwa risasi inayofyatuliwa mwanzo; huanza kwa simulizi inayotolewa mwanzo; kwa picha, kwa mripuko, kwa kutoa tuhuma,…