Sira na Mwenendo Hai wa Ayatollah Khamenei

Share

Sira na Mwenendo Hai wa Ayatollah Khamenei

Kwa wengi, Ayatollah Seyyed Ali Khamenei hakuwa kiongozi wa Iran pekee. Alikuwa mwakilishi wa mfumo wa siasa ambao haukutenganisha madaraka na kuishi maisha ya kawaida, haukuwa wa kuwasukumia wengine majukumu, si wa kukimbia kwenye medani wakati wa migogoro, na wa kutanguliza matendo badala ya hatua za kimaonyesho tu.

KIGEUZA MCHEZO