Teknolojia ya Matangi Makubwa ya Gesi

Share

Iran imevunja ukiritimba wa utengezaji matangi makubwa ya mviringo ya gesi. Kwa hatua hiyo, sasa Iran ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye uwezo wa kuunda matangi hayo muhimu katika sekta ya uzalishaji gesi.

KIGEUZA MCHEZO