Disemba 9, 2025
81 Tracks
00:00
1X
- Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo huu mpya wa Podikasti ya Historia ya Mayahudi nchini Iran. Katika Podikasti hii, tutatupia jicho historia, utamaduni, na nafasi ya Mayahudi nchini Iran kutoka nyakati za kale hadi leo. Iran ni nchi ya kale yenye ustaarabu mkongwe wa miaka elfu kadhaa. Kwa mujibu wa[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika mfululizo huu wa Podikasti ya Historia ya Mayahudi nchini Iran. Ni simulizi ya kuvutia kuisikiliza ya uwepo, mwendelezo, na uthabiti wa Wayahudi nchini Iran kwa namna ambayo haijasimuliwa popote pengine. Katika Episodi iliyopita, tulisafiri ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuonesha kwamba[...]
- Kwa nini shambulio la Israel dhidi ya Iran si tukio tu... bali ni dhihirisho jingine la vita kati ya haki na batili? Tutajaribu kujibu swali hili katika podikasti hii mpya. Tangu mwanzo alikuwa peke yake; bila mwenza, asiyehitajia chochote, na aliye juu ya zama na wakati. Na alipotaka jambo liwe, alisema; "kuwa" na[...]
- Katika kipindi hiki cha pili katika mfululizo huu wa vipindi vya Ukweli Kuhusu Haki, Tangu Mwanzo wa Historia Hadi Leo, tutazungumzia uwongo na mitihani ya Wana wa Israili hadi kudhihiri kwa Uzayuni. Tangu mwanzo alikuwa peke yake; bila mwenza, asiyehitajia chochote, na aliye juu ya zama na wakati. Na alipotaka jambo liwe, alisema;[...]
- Historia ni simulizi inayojirudiarudia lakini haina maana kwamba haina faida yoyote. Hujikariri ikiwa na sura mpya katika kila mlango na kuangazia pambano la kale kati ya haki na batili — tokea mashujaa wa kale hadi machaguo yetu ya kila siku maishani. Tangu mwanzo alikuwa peke yake; bila mwenza, asiyehitajia chochote, na aliye juu ya[...]
- Historia ni simulizi inayojirudiarudia lakini haina maana kwamba haina faida yoyote. Hujikariri ikiwa na sura mpya katika kila mlango na kuangazia pambano la kale kati ya haki na batili — tokea mashujaa wa kale hadi machaguo yetu ya kila siku maishani. Tangu mwanzo alikuwa peke yake; bila mwenza, asiyehitajia chochote, na aliye juu ya zama[...]
- Katika alfajiri ya umwagaji damu, wakati anga ya Iran ilipokuwa inateketea chini ya moto wa adui, irada madhubuti iliibuka ambayo si tu ulizuia wimbi la kwanza la hujuma, bali pia ilibadilisha simulizi ya vita. Siku 12 za vita ambazo zilibuni muundo mpya wa ulinzi, mapambano na ushindi kutoka kwenye vifusi na moto. Mwanzoni, kulikuwa[...]
- Katika kipindi cha siku 12 za vita, na kufuatia amri ya moja kwa moja ya Kiongozi wake Mkuu, Iran ilijitoa katika hali ya kujilinda na kubadilisha kabisa mlingano wa vita kwa kuanzisha mashambulio makali na yaliyoratibiwa ya makombora ndani kabisa ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al-Odeid huko[...]
- Vita vya leo vya vyombo vya habari ni sura mpya ya vita vile vile vya muda mrefu kati ya haki na batili. Medani ya Vita imehamishwa kutoka kwenye matuta ya mchanga katika nchi kavu hadi kwenye mawasiliano ya simu na habari za televisheni, ambapo risasi hutengenezwa kwa maneno, picha na tungo. Katika kampeni hii,[...]
- Vita vya kulazimishwa vya siku 12 vya Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havikuisha kwa kusitishwa mapigano, bali vilimalizika kwa kuanza msimu mpya, ambao ngano ya "uzuiaji wa Israel" iliporomoka, nafasi ya Iran katika mlingano wa kieneo ikafafanuliwa upya, na ushindi wa haki dhidi ya batili ukahama kutoka kwenye uwanja wa vita hadi[...]
- Tangu mistari ya kwanza ya uumbaji hadi leo, historia inasimuliwa kwa mstari mmoja tu wa kudumu: Pambano kati ya haki na batili. Baada ya ushindi wa Iran katika vita vya kulazimishwa vya Israel, episodi hii inasonga mbele katika njia ndefu ya vita hivi kuanzia Habil na Musa hadi Ashura na muqawama wa leo,[...]
- Katika kipindi cha mwisho cha podikasti hii ya Ukweli kuhusu Haki, Tangu Mwanazo Hadi Mwisho", tutapata kujua kwamba ushindi wa leo wa Iran dhidi ya Uzayuni sio mwisho wa vita bali ni mwanzo wa msimu ambapo "mapambano na muqawama" vinageuka kuwa "usanifu wa mustakbali wa baadaye". Msimu ambao unaibuka kutoka kwenye kina cha historia[...]
- Mkesha wa Vita vya Msalaba Katika eneo la Magharibi mwa baral la Asia na mashariki mwa Bahari ya Mediterania, kuna ardhi ndogo na yenye kuvutia na iliyo milimani, ambayo inapakana na Syria na Lebanon upande wa kaskazini na kaskazini Mashariki. Katika upande wa mashariki inapakana na Jordan huku ikipakana na Misri upande wa[...]
- Vita vya Kwanza vya Msalaba Karibuni katika sehemu hii ya pili ya mfululizo wa podkasti zetu kuhusu "Vita vya Msalaba". Makala hii imetayarishwa kwa kutegemea kitabu kilichoandikwa na Mohammad Rashad. Vita vya msalaba vilitekelezwa kwa jina la dini ya Kikristo ambapo askari walioshiriki katika vita hivyo walikuwa na alama ya msalaba na walisimamiwa na[...]
- Matokeo ya Vita vya Pili vya Msalaba Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya Podikasti inayozungumzia Vita vya Msalaba. Katika sehemu ya nne ya podikasti hii tutatupia jicho matokeo ya Vita vya pili vya msalaba. Kuweni name hadi mwisho wa makala hii. Baada ya watu wa msalaba kushindwa[...]
- Duru ya Saba ya Vita vya Msalaba Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni karika sehemu ya 15 ya Podikasti ya Vita vya Msalaba. Katika Podikasti hii tutazungumzia duru ya saba ya Vita vya Msalaba ambayo ilimalizika kwa Waislamu kupata ushindi. Vita hivi vilitokea kati ya mataifa ya Wakristo wa Ulaya na[...]
- Katika karne ya 15 Milaadia, ardhi ambayo leo tunaijua kwa jina la Uhispania ilikuwa imegawika sehemu mbili, Mashariki na Magharibi. Ferdinand alikuwa ndiye mfalme wa nchi ya Aragon na Isabella ndiye aliyekuwa Malkia wa nchi ya Castile... hali hiyo iliendelea mpaka hekaya ya mapenzi baina ya nchi hizo mbili ilipozuka. Ferdinand alimposa Isabella na malkia[...]
- Ushindani kati ya Ureno, Uhispania na Ufaransa uliendelea hadi mwishowe mshindani mkali akaingia kwenye medani ya vita. Huyo alikuwa ni mshindani wa jinsia nyingine. Kwa miaka mingi, Henry VII na VIII, wafalme wa Uingereza, walijaribu kushiriki katika mashindano hayo, lakini hatima ilikuwa ni kwamba kilichowashinda wanaume kiliweza kufanywa na mwanamke anayeitwa Malkia Elizabeth. Katika[...]
- Uhispania ilikuwa nchi ya pili iliyoingia baharini katika juhudi za kufika kwenye nchi iliyokuwa inaiota mchana na usiku, naam nchi ya utajiri wa dhahabu na hatimaye ilifika kwenye nchi hiyo. Baada ya kuvuka mikondo mikubwa ya bahari, hatimaye Wahispania walifika kwenye ardhi ya "El Dorado" katika nchi ya watu wa jamii ya Inca. Wakristo[...]
- Siku moja, simba mwenye njaa alikuwa akiwinda katika uwanda mkubwa. Ghafla, macho yake yakatua kwa paa aliyekuwa anakula majani akiwa na kikinda chake kichanga. Simba alijificha kwenye kona na alipopata tu fursa nzuri alikimbia haraka akakimbia kuelekea upande wa paa. Siku moja, simba mwenye njaa alikuwa akiwinda katika uwanda mkubwa. Ghafla, macho yake yakatua[...]
- Waingereza walikuwa walisafiri kwa kutumia njia ngumu sana na ya hatari kuvuka bahari ili kukanyaga Ulimwengu Mpya, kuanzisha mashamba makubwa huko, na kutafuta dhahabu na fedha chini ya milima yake. Hadithi zinasema kwamba, kuna wakati fulani Socrates alikuwa akiketi mbele ya lango la jiji na kukaribisha wageni. Siku moja, mgeni mmoja alikuja kwake na[...]
- Mamia ya miaka iliyopita, sherehe ya ajabu ilikuwa ikifanyika kila mwaka katika jiji la Venice, Italia. Mtawala wa mji huo alikuwa ametenga siku maalumu ambayo alikuwa anaondoka mjini na kwenda katikati ya bahari kwa mashua, na kuchukua pete ya arusi kutoka mfukoni mwake, akaiielekeza upande wa baharini kwa muda, na halafu alikuwa anaitupa majini kwa[...]
- Assalaamu Alaykum. Hii ni sehemu ya ishirini na tano cha mfululizo wa Podikasti ya Historia ya Dunia, ni mkusanyiko wa historia na kumbukumbu kutoka Uingereza, India, watawala, na wakulima.... Watu waliokuwa wakiishi pembeni mwa Mto Indus au kwa jina jingine Mto Sindh waliingia wasiwasi sana walipomuona mzungumzo mmoja kutoka Uingereza akiwa anazurura-zurura karibu na nyumba[...]
- Je, umewahi kucheza mchezo wa polisi mzuri na polisi mbaya? Ulicheza nafasi gani katika filamu hiyo? Huenda hata umewahi kucheza bila ya wewe mwenyewe kujua. Hiki ni episodi ya ishirini na saba (27) ya mfululizo wa Podikasti ya Historia ya Dunia. Historia na kumbukumbu za maasi, miji na methali.... Baada ya mapinduzi mengi ya[...]