Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen

Vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen ni vita vya kuilinda Israel na kampeni yake ya mauaji ya kimbari huko Gaza. Marekani na Uingereza,

Share

Picha ya video kuhusu vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen kwa ajili ya kuilinda Israel

Vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen ni vita vya kuilinda Israel na kampeni yake ya mauaji ya kimbari huko Gaza. Marekani na Uingereza, zikiwa mifano miwili ya nchi tajiri zaidi duniani, zinashambulia kwa makombora moja ya mataifa maskini zaidi duniani, Yemen, ambalo kosa lake ni kulitetea taifa linalodhulumiwa zaidi duniani la Palestina, huko Gaza.

Faili la Venezuela