Agosti 11, 2025
10 Tracks
00:00
1X
- Nchi Bandia Ni matumaini yangu kuwa hamjambo Wapenzi Wasikilizaji na karibuni katika sehemu ya pili ya Podikasti hii ya Palestina; Milki ya Ibrahim (as). Katika kila Katika sehemu ya pili ya podikasti yetu hii tutazungumzia na kubainisha ukkwamishaji mambo na njama za Wazayuni dhidi ya ardhi ya Palestina na uvamizi wao usio wa kibiinadamu kwa[...]
- (Kuundwa Uzayuni) Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingtine ya Podikasti hii ya Palestina; Milki ya Ibrahim (as). Katika sehemu tano zilizotangulia za “Palestina, Milki ya Ibrahimu”, tulichunguza madai ya Wazayuni kwamba Nchi ya Ahadi ilikuwa makazi ya babu zao kwa mtazamo wa Torati, na leo katika sehemu ya sita[...]
- Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingtine ya Podikasti hii ya Palestina; Milki ya Ibrahim (as). Katika sehemu tano zilizotangulia za “Palestina, Milki ya Ibrahimu”, tulichunguza madai ya Wazayuni kwamba Nchi ya Ahadi ilikuwa makazi ya babu zao kwa mtazamo wa Torati, na leo katika sehemu ya sita wapenzi wasikilizaji[...]
- Chuki dhidi ya Uyahudi ni kweli? Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya Podikasti hii ya Palestina; Milki ya Ibrahim (as). Wazayuni wanadai kwamba daima wamekuwa wakikabiliwa na hisia na tabia za chuki dhidi ya Wayahudi; wanasisitiza kwamba chuki dhidi ya Wayahudi ni harakati ya kitaasubi ambayo haina msingi[...]
- Mustakabali wa Palestina Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya Podikasti hii ya Palestina; Milki ya Ibrahim (as). Patika sehemu ya 10 na ya mwisho ya Podikasti hii ya “Palestina, Milki ya Ibrahimu”, tutaangazia mwenendo wa kujitokeza hali ya sasa ya Palestina na namna ardhi ya nchi hiyo ilivyoporwa[...]