Home » Videos » Featured » Kwa Jina la Mwokozi
Share
Wamarekani wengi wanaamini kwamba mwisho wa dunia umekaribia. Utabiri huo unasema, vita vya mwisho vitakavyomaliza dunia vitaanzia Mashariki ya Kati, na Israel ndio ufunguo wake.