Vita vya Maangamizi Sudan

Share

Vita vya Maangamizi Sudan

Sudan inakabiliwa na janga kubwa, lakini mizizi ya mgogoro huu iko katika historia ya ukoloni. Sudan ilikuwa koloni la Uingereza. Wakoloni Waingereza walitumia mbinu yao maarufu ya “gawanya na utawale.”

Kwa Jina la Mwokozi